2014 JET Annual General Meeting

 

 

Waheshimiwa wanachama wa JET,

 

Jumamosi Septemba 27 mwaka huu 2014 JET inayo furaha kuwa taarifu kikao cha mkutano mkuu wa kawaida wa mwaka. Mkutano huo utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi katika hoteli ya Lion, Sinza, Dar es Salaam.

 

Ajenda ya mkutano itakuwa:

1.  Kufungua mkutano

2.  Kusoma miniti za mkutano uliopita

3.  Yatokanayo na miniti husika

4. Ripoti ya utendaji na Rasimu ya Bajeti (Julai-Desemba 2014)

5.  Audited Report

6.  Mengineyo

 

Tafadhali thibitisha kuhudhuria kwako ili sekretariati iweze kupanga bajeti sahihi ya mkutano.  Tutafurahi kama utathibitisha kabla ya Alhamisi (Septemba 25, 2014) ili pia sekretariati iandae malipo ya kila mhusika ikiwa ni pamoja na protokali nyingine.

 

Chrysostom Rweyemamu

Katibu Mkuu

 

--

Journalists' Environmental Association of Tanzania (JET)

P. O. Box 15674,

Dar es Salaam, Tanzania

Tegeta, Bagamoyo Road

Junction of Chanika

jetassociation@gmail.com

www.jettanz.com

Tel: +255 0737 200330, 0754 263965