JET 2016 AGM

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA TANZANIA (JET)

KITAFANYA MKUTANO WAKE MKUU WA MWAKA UTAKAOFANYIKA DAR ES SALAAM, JUMAMOSI JULAI 23, 2016 KUANZIA SAA 2 ASUBUHI, KATIKA HOTELI YA LION, SINZA.

AGENDA

 

1. kufungua mkutano

2. Miniti za mkutano wa mwaka uliopita

3. Yatokanayo na mkutano mkuu uliopita

4. Ripoti ya utendaji na ripoti ya mkaguzi wa hesabu ya 2015

5. Mengineyo

 

 Tanbihi: WENYE HAKI KUHUDHURIA NI WALE WALIOKAMILISHA KULIPA ADA ZAO HADI 2015

Mkurugenzi Mtendaji,

Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET),

P.O Box 15674,

Dar es salaam, Tanzania

Junction of Pundamilia & Faru Street

jetassociation@gmail.com

www.jettanz.com

Tel: +255 737 200 330